MKURUGENZI LORD HARRIS AMUUNGA MKONO ARSENE WENGER
Baada ya kuwa na hali mbaya Kifedha baada ya ujenzi wa Uwanja wao mpya Emirates, Lord Harris amedai sasa wana uwezo wa Kifedha wa kununua karibu Mchezaji yeyote Duniani.
Amesema: "Tutamuunga mkono kuvunja Rekodi ya Klabu ya Ununuzi wa Mchezaji. Akimtaka Mchezaji, atampata. Ukiwaondoa Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, anaweza kumchukua Mchezaji yeyote yule."
Lakini alikaa Miaka 9 bila ya Kikombe chochote hadi 2014 na 2015 alipobeba FA CUP mara 2 mfululizo.
Post a Comment