Ryan Burge ameanza majaribio leo na
kikosi cha Azam FC chini ya Mwingereza Stewart Hall.
Burge anatokea katika klabu ya
Birmingham ya England, hali ilivyo inaonekana Azam FC, itamsajili.
Alionekana akiwa na wenzake leo kwenye
Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam akipambana kuwania nafasi hiyo ya
kusajiliwa.
KWA HISANI SALEH JEMBE
No comments:
Post a Comment