OKWI BAADA YA KUTUA DENMARK. |
Klabu ya Sonderjyske ya
nchini Denmark imempokea mshambuliaji wake mpya Emmanuel Okwi na kumkabidhi
jezi yake ileile.
Wakati
akiwa Simba, Okwi raia wa Uganda alikuwa akitumia jezi namba 25 ambayo Sonderjyske
wamemkabidhi.
Okwi
amejiunga na timu hiyo akitokea Simba aliyoichezea baada ya kuiacha akajiunga
na Etoile du Sahel ya Tunisia na baadaye Yanga.
KWA HISANI YA SALEH JEMBE
No comments:
Post a Comment