Hadi sasa uongozi wa Azam TV upo kwenye mipango ya
kuhakikisha unarusha ligi hiyo ‘live’ kutoka England katika msimu ujao
unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao. Akizungumza na Championi
Jumamosi, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media, Tido Mhando, alisema
wamejipanga kuhakikisha wanalikamilisha hilo mapema.
No comments:
Post a Comment