Pamoja na Pirlo, Wachezaji wenzake 6 wa Klabu yake Juventus wamejumuika nae kuunda Timu Bora ya Msimu ya Serie A.
Pirlo alitajwa kuwa ndie Mchezaji Bora hapo Jana kwenye Hafla iliyoandaliwa na Chama cha Wanasoka wa Italy.
Kocha Antonio Conte(kulia) akichekelea baada ya kuchaguliwa kocha bora
No comments:
Post a Comment