Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee |
Bondia Wang Xin Hua
kutoka China 'kushoto' wakitazamana kwa usongo na Mohamed Matumla baada
ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika
ukumbi wa Diamond jubilee katikati ni Jay Msangi Promota
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Cosmas Cheka baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo |
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Bondia Wang Xin Hua
kutoka China 'kushoto' na Mohamedi Matumla
baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo
No comments:
Post a Comment