Bao
2 safi za Jordan Henderson na Phillippe Coutinho zimeendeleza uteja wa
Manchester City Uwanja wa Anfield walipochapwa Bao 2-1 na Liverpool
ambayo imepanda hadi Nafasi ya 5 na kuiacha City ikipata pigo kubwa
kutetea Ubingwa wao.
City sasa wako Pointi 5 nyuma ya Vinara Chelsea ambao wana Mechi 1 mkononi.Coutinho akishangilia bao lake.Kocha wa Liverpool nae Brendan yale yale furaha tupu...Makocha wakisalimiana mapema kabla ya mtanange kuanzaAguero akibanwa..Zabaleta akitoa neno kwa Mwamuzi MarkBao 1-0Wachezaji wa Liverpool wakishangilia mbele ya mashabiki wao kwenye Uwanja wa Anfield

No comments:
Post a Comment