Rais wa oganaizesheni ya ngumi za
kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto akisalimiana na bondia Wang
Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano
wake na Mohamed Matumla utakaofanyika march 27 katika ukumbi wa diamond
jubilee katikati ni Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa
na kulia ni promota wa mpambano huo Jay Msangi
Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdalla kushoto akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wake na mohamed Matumla utakaofanyika march 27 katika ukumbi wa diamond jubilee katikati ni Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa |
bondia Wang Xin Hua kutoka China |
Bondia Wang
Xin Hua kutoka China akilakiwa na mwenyeji wake Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa
No comments:
Post a Comment