Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, October 4, 2014

LIVERPOOL YAIFUNGA WEST BROM MABAO 2-1, JORDAN HENDERSON AIPA USHINDI LIVERPOOL

Jordan Henderson (kulia) akishangilia bao lake la pili baada ya kufanya 2-1 dhidi ya West Brom AlbionWachezaji wa Liverpool wakishangilia bao bao na kumpongeza Lallana mfungaji wao hilo. bao la West Brom lilifungwa mapema kipindi cha pili dakika ya 56 kwa mkwaju wa penati na Saido
Berahino. Dakika ya 61 Liverpool waliongeza tena bao kupitia kwa Jordan Henderson na kutangulia tena kwa bao 2-1 dhidi ya West Brom Albion.
Lallana anaipachikia bao la kuongoza Liverpool katika dakika za majeruhi dakika ya 45 na kufanya 1-0.
VIKOSI:
LIVERPOOL 11: Mignolet, Manquillo, Lovren, Skrtel, Moreno, Gerrard, Henderson, Lallana, Coutinho, Sterling, Lambert.
Akiba: Jones, Toure, Johnson, Lucas, Markovic, Borini, Balotelli.

WEST BROM 11: Foster, Gamboa, Lescott, Dawson, Pocognoli, Dorrans, Morrison, Gardner, Brunt, Sessegnon, Berahino.
Akiba: Myhill, McAuley, Mulumbu, Blanco, Yacob, Baird, Samaras.


RATIBA/MATOKEO
Jumamosi Oktoba 4 
Hull City 2 v 0 Crystal Palace
Leicester 2 v 2 Burnley
Liverpool 2 v 1 West Brom
Sunderland 2 v 1 Stoke
Swansea 2 v 2 Newcastle
19:30 Aston Villa v Man City 

No comments:

Post a Comment