Wakati muda ukisubiriwa kwa timu ya taifa Taifa Stars kushuka dimbani
kukipiga dhidi ya Chad huko D’Njamena,kocha mkuu wa Charles Boniface
Mkwasa ametangaza kikosi kitakachoanza katika mchezo huo wa kuwania
tiketi ya kushiriki michuano ya mataifa ya afrika.
1-Aishi Manula 2-Shomari Kapombe 3-Haji Mwinyi 4-Erasto Nyoni 5-Kelvin Yondani
6-Himidi Mao 7-Thomas Ulimwengu 8-Jonas Mkude 9-Mwinyi Kazimoto 10-Mbwana Samatta
11-Farid Mussa
WACHEZAJI WA AKIBA
Ally Mustapha,Mohamed Husein,John Bocco,Siza Kichuya

No comments:
Post a Comment