Shirikisho
la Soka Spain RFEF, limetangaza Ratiba ya La Liga kwa Msimu mpya wa
2014/15 na Vigogo, Real Madrid watakuwa Wenyeji wa Barcelona hapo
Oktoba 26 kwenye Mechi ambayo huenda ikawa ya kwanza kwa Luis Suarez kwa
Timu yake Barca baada ya kumaliza Kifungo chake cha Miezi Minne.
Ligi hiyo itaanza Wikiendi ya Agosti 23 na Mabingwa Watetezi, Atletico Madrid, wataanza na Rayo Vallecano.
Real Madrid na Barcelona zote zitaanzia Nyumbani kwa Real kucheza na Cordoba na Barca kuivaa Elche.Tayari Real Madrid wamemsajili James RodriguezKwenye Ratiba ya ufunguzi, Sevilla watakuwa Nyumbani kucheza na Valencia ikiwa ni kama Marudiano ya Fainali ya EUROPA LIGI ya Msimu uliopita.
Pia Wikiendi hiyo itakuwepo Dabi ya Jiji la Vila-real kati ya Levante na Villareal wakati Malaga wataanza na Athletic Bilbao ndani ya La Rosaleda.
Mechi ya Marudiano ya El Clasico itakuwa huko Camp Nou wakati Barcelona watakapoikaribisha Real hapo Machi 22, 2015.
TOP MATCHES 2014-15 LA LIGA SEASON:

Date | Match | Time | Venue |
24 August | Sevilla vs Valencia | ||
24 August | Levante vs Villarreal | ||
24 August | Barcelona vs Elche | ||
24 August | Granada vs Deportivo | ||
24 August | Rayo Vallecano vs Atletico Madrid | ||
24 August | Eibar vs Real Sociedad | ||
24 August | Real Madrid vs Cordoba | ||
24 August | Almeria vs Espanyol | ||
24 August | Malaga vs Athletic Bilbao |
TOP MATCHES 2014-15 LA LIGA SEASON:
- Real Madrid vs Barcelona – 26 October 2014
- Barcelona vs Real Madrid – 22 March 2015
- Barcelona vs Atletico - 11 January 2015
- Atletico vs Barcelona - 17 May 2015
- Real Madrid vs Atletico Madrid – 14 September 2014
- Atletico vs Real Madrid – 08 February 2015
No comments:
Post a Comment