Mats
Hummels anaelekea kujiunga na Manchester United wiki hii akitokea katika klabu ya Borussia
Dortmund kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni £16 kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini Hispania.
Vilabu
hivyo viwili vinaendelea na mazungumzo kuelekea kukamilisha mpango huo
lakini Old Trafford wana uhakika wa kung'oa nanga hiyo ya mlinzi huyo
kitasa.
Akiwa
na umri wa miaka 25 alionyesha kiwango cha juu katika fainali za kombe
la dunia nchini Brazil, na amekuwa akimvuatia meneja Louis van Gaal
Huo utakuwa ni usajili mkubwa kwa mabingwa hao mara 20 wa Ulaya wakati huu wakiwa katika harakati za kurejesha heshima yao.
Kiwango: Hummels atakuwa ni ongozeko bora kwa Van Gaal
No comments:
Post a Comment