Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, February 18, 2014

WAYNE ROONEY AJIPANGA KUONGEZA MKATABA WA KUDUMU MASHETANI WEKUNDU


Wayne Rooney anatarajia kusaini mkataba mpya wa miaka mitano na nusu na klabu yake ya sasa Manchester United wiki hii ambao utaongeza mshahara wake hadi kufikia paundi 300,000 kwa wiki.Mshambuliaji huyo England mwenye 28 anataka kuongeza mkataba ambao utamuweka Old Trafford hadi June 2019, ambapo tayari makubaliano ya awali yamefikiwa kati yake na klabu.

No comments:

Post a Comment