Bondia Twalibu Mchanjo (kulia) akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde zito ambalo lilimpeleka mpaka sakafuni na kuhesabiwa hata hivyo alirudi ulingoni kupambana, Mchanjo alishinda kwa pointi |
Bondia Twalibu Mchanjo (kulia) akimpiga mpinzani wake Eliya Ngozi, konde wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki, Mchanjo alishinda kwa pointi |
Bondia Twalibu Mchanjo(kulia) akiamuliwa na refarii Saidi Chaku aende kona nyeupe ili aendelee kumuhesabia mpinzani wake Eliya Ngozi, baada ya kumtandika konde na kuanguka chini |
Bondia Twalibu Mchanjo |
Bondia Twalibu Mchanjo aliyenyanyuliwa mikono juu kuashiria ushindi wake |
Bondia Lulu Kayage (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fadhila Adam wakati wa mpambano wao uliofasnyika wakati wa sikukuu ya wapendanao katika ukumbi wa Mpo Afrika Tandika Dervis Corner Dar es salaam |
Bondia Lulu Kayage (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fadhila Adam wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa sikukuu ya wapendanao katika ukumbi wa Mpo Afrika Tandika Dervis Corner Dar es salaam, mpambano huo walitoka sare |
Mabondia Adam Yahaya (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mohamed Kikolekwa wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki,Yahaya alishinda kwa pointi |
Mabondia Mohamed Kikolekwa (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adam Yahaya wakati wa mpambano wao uliofanyika Chanika kwa mama Rajabu mwishoni mwa wiki, Yahaya alishinda kwa pointi |
Bondia Fadhili Awadhi (kushoto) akipambana na Mfaume Jumanne wakati wa pambano wao, Awadhi alishinda kwa KO ya raundi ya pili |
Bondia Fadhili Awadhi akiwa amemgalagaza chini Mfaume jumanne |
No comments:
Post a Comment