Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, February 16, 2014

LA LIGA: BARCELONA 6 v RAYO VALLECANO 0, BARCA WAKO KILELENI, MESSI AENDELEA KUVUNJA HISTORIA

Start of the rout: Brazilian defender Adriano, centre celebrates with his team-mates after scoring the first against Rayo VallecanoMABINGWA Watetezi wa La Liga huko Spain, Barcelona, Jana Usiku wakicheza kwao Nou Camp, waliifumua Rayo Vallecano Bao 6-0 na kuendelea kukaa kileleni mwa Ligi wakifungana kwa Pointi na Atletico Madrid lakini wao wako juu kwa ubora wa Magoli.
Bao za Barca kwenye Mechi hiyo zilipachikwa na Neymar, Lionel Messi, Bao 2, Pedro, Sanchez na Adriano. Thumbs up: Barcelona's Lionel Messi celebrates scoring his first goal against Rayo Vallecano at the Nou Camp
Nao, Atletico Madrid, mapema hiyo Jana waliichapa Real Valladolid Bao 3-0 kwa Bao za Raul Garcia Escudero, Diego Costa na Diego Godin.High five: Barcelona's Chilean striker Alexis Sanchez, right, celebrates with Messi after scoringLeo hii Real Madrid, ambao wako Ugenini kucheza na Getafe, wana nafasi ya kuzikamata Barca na Atletico ikiwa watashinda lakini watamkosa Supastaa wao Cristiano Ronaldo ambae atakuwa akitumikia Mechi ya Pili ya Kifungo chake cha Mechi 3.Jumping for joy: Pedro, left, enjoys scoring against Rayo Vallecano with Cesc FabregasPedro akifurahia hapa baada ya kufunga baoSurrounded: Messi tries to get past three Rayo Vallecano playersMessi akijaribu kukatiza katikati ya wachezaji wa Rayo Vellecano..
Embedded image permalink
RATIBA/MATOKEO:
Ijumaa Februari 14
Elche CF 0 Osasuna 0
Jumamosi Februari 15
Atletico de Madrid 3 Real Valladolid 0
Levante 1 UD Almeria 0
FC Barcelona 6 Rayo Vallecano 0
Villarreal CF 0 Celta de Vigo 2
Jumapili Februari 16
1400 Granada CF v Real Betis
1900 Getafe CF v Real Madrid CF
2100 Athletic de Bilbao v RCD Espanyol
2300 Sevilla FC v Valencia
Jumatatu Februari 17
2400 Malaga CF v Real Sociedad

No comments:

Post a Comment