Meneja wa Swansea Garry Monk akisalimiana na meneja mwenzie wa Everton Roberto Martinez Kimya kwa muda kumwombea Tom Finney aliyefariki hivi karibuni...Lacina Traore akishangilia bao lake.
Everon Leo wametinga Robo Fainali ya FA CUP na huko watakutana na Mshindi kati ya Arsenal au Liverpoolwanaocheza hii Leo huko Emirates.
Everton, wakicheza kwao Goodison Park, waliichapa Swansea City Bao 3-1. Bao za Everton zilifungwa na Mchezaji mpya Lacina Traore, Dakika ya 4, Naismith, Dakika ya 65 na Penati ya Dakika ya 72 ya Leighton Baines 72.
Bao pekee la Swansea lilifungwa na Jonathan de Guzman katika Dakika ya 15.Jonathan de Guzman akiisawazishia bao nakufanya 1-1Naismith akishangilia bao muda mfupi akitokea benchi..
Everton wakishangilia..Mchezaji wa Everton Steven Naismith akiifunga Everton baada ya tatizo kutokea!Mchezaji wa Leighton Baines akimpelekesha mlinda mlango Gerhard Tremmel kwenye mkwaju wa penati.Leighton Baines akifanya mambo yake.Leighton Baines akishangilia bao na kupongezana na Steven Naismith kulia.Baines (kulia) akishangilia bao lake!Mlinda mlango Gerhard Tremmel akipagawa baada ya kufungwa bao!

No comments:
Post a Comment