KOCHA ALIYEIPA SPAIN UBINGWA WA ULAYA AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 75.
Kocha huyu atakumbukwa kwa kuiongoza Hispania katika awamu mpya ya mafanikio mnamo mwaka 2008, alipoiwezesha timu hiyo kutwaa kombe la EURO na baada ya hapo alistaafu na kumpisha Del Bosque. Aliifundisha Spain kuanzia mwaka 2004 - 2008.
Luis Aragones
Post a Comment