MKURUGENZI
wa michezo wa klabu ya Newcastle United Joe Kinnear amejiuzulu wadhifa
wake huo baada ya kuutumikia kwa kipindi cha nane. Kinnear mwenye umri
wa miaka 67 alikuwa ndio bosi wa kocha Alan Pardew kwenye masuala ya
utawala huku akitoa kwa mmiliki kuhusiana na masuala yote ya timu hiyo.
Newcastle ilishindwa kusajili mchezaji yoyote wakati timu ikiwa chini ya
Kinnear na Pardew amekataa kumuunga mkono kufuatia kipigo cha maba 3-0
walichopata kutoka kwa Sunderland Jumamosi iliyopita. Akihojiwa Pardew
amesema kama angepewa nafasi ya kusajili pengine mambo yangekuwa tofauti
lakini hakuwa na mamlaka hayo. aada
ya Newcastle kumuuza Yohan Cabaye kwenda Paris Saint-Germain kwa paundi
milioni 19, timu hiyo ilishindwa kutafuta mbadala wake katika siku
mbili za usajili wa dirisha dogo zilziobakia.
Kwa nini Iran iliamua kuishambulia Israel?
-
Kwa mujibu wa taarifa za maafisa wa kijeshi nchini Iran, shambulio hilo
lilikuwa la " kulipiza kisasi mashambulizi ya Israel dhidi ya vitongoji vya
Beirut."
GEITA GOLD YAPANDA LIGI KUU
-
Timu ya Geita Gold FC imerejea Ligi Kuu ya NBC baada ya leo kumfunga
Songea United mabao 3-1 wakiwa nyumbani Uwanja wa Nyamkumbu.
Kwa matokeo hayo Geita...
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen
Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka
jiwe la ms...
Post a Comment