Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, February 17, 2014

ARSENAL YASONGA HATUA YA ROBO FAINALI BAADA YA 2-1 LIVERPOOL, KUKUTANA NA EVERTON


Oxlade-Chamberlain akifunga bao katika kipindi cha kwanza baada ya kutokea frii kiki na wachezaji kucheza vyema ndani ya box huku Arteta akishinikiza bao hilo. Lukas Podolski and Yaya Sanogo celeb Kipindi cha pili Podolski akawaongezea Gunners bao nakufanya 2-0. Kipindi cha pili hicho hicho dakika ya 59 Suarez akaangushwa ndani ya eneo hatari (box) na dakika ya 60 kapteni steven Gerard akafunga bao kwa mkwaju wa penati na kufanya 2-1.Steven Gerrard penalty Liverpool vs Arsenal Steven Gerrard akifunga bao kwa mkwaju wa penati..
MAPEMA WAKIINGIA KWENYE UWANJA WA EMIRATES...

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiingia kwenye uwanja wa Emirates
View image on Twitter
Wote wanaanza kipindi cha kwanza...
-ARSENAL imefanya mabadiliko (saba) 7 kwenye kikosi chake...Huku Liverpool wakifanya mabadiliko matatu tu.. 
VIKOSI:
Arsenal starting XI
Fabianski, Jenkinson, Koscielny, Mertesacker, Monreal, Flamini, Arteta, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Podolski, Sanogo.

Jack Wilshere
Liverpool starting XI
Jones, Flanagan, Skrtel, Agger, Cissokho, Gerrard, Allen, Coutinho, Sterling, Sturridge, Suarez. 

 Alex Oxlade-Chamberlain na Lukas Podolski wameipatia ushindi timu yao ya Arsenal. Bao za Arsenal zimepatikana kipindi cha kwanza na cha pili. Kipindi cha pili hicho hicho dakika ya 59 Suarez akaangushwa ndani ya eneo hatari (box) na dakika ya 60 kapteni steven Gerard akafunga bao kwa mkwaju wa penati na kufanya 2-1.Muda mfupi ulitengwa kumkumbuka Sir Tom Finney aliyefariki hivi karibuni..kabla ya mtanange!Mchezaji matata Daniel Sturridge akikatiza katikati ya wachezaji wa ArsenalRaheem Sterling(kulia) akiendesha...........Luis Suarez na Laurent Koscielny kwenye patashika.... Mwamuzi..Howard Webb akimwonesha kadi ya njano Mathieu Flamini wa ArsenalNacho Monreal akitupwa chini na Jon Flanagan wa Liverpool.Steven Gerrard na Per Mertesacker kwenye patashika kuugombania mpira!Oxlade-Chamberlain akitingisha nyavu nakufanya 1-0...Wakipongezana baada ya bao hiloPodolski akishangilia na yeye baada ya kufunga bao la pili kipindi cha pili dakika ya 60Kapteini Steven Gerrard akifunga mkwaju wa penati na kufanya 2-1Ndani ya 18 wakichuana!Suarez chini akijiuguza baada ya kufanyiwa ndivyo sivyo!
VIKOSI:
Arsenal (4-2-3-1): Fabianski 7, Jenkinson 6, Mertesacker 6, Koscielny 7, Monreal 5, Flamini 7, Arteta 7, Oxlade-Chamberlain 8 (Gibbs 76), Ozil 7, Podolski 6 (Cazorla 69, 5), Sanogo 6 (Giroud 88).
Subs not used: Sagna, Wilshere, Viviano, Gnabry.

Booked: Monreal, Flamini.
Goals: Oxlade-Chamberlain 16, Podolski 47
Manager: Arsene Wenger 7
Liverpool: Jones, Flanagan, Agger, Skrtel, Cissokho (Henderson 62), Coutinho, Gerrard, Allen, Sterling, Suarez, Sturridge.
Subs not used: Toure, Aspas, Moses, Mignolet, Kelly, Teixeira.

Booked: Flanagan, Coutinho, Gerrard.

Goals: Gerrard (pen) 59.
Manager: Brendan Rodgers
Man of the Match: Alex Oxlade-Chamberlain

Ref: Howard Webb

Raundi ya Tano 
RATIBA/MATOKEO

Jumapili Februari 16  
Everton 3 v Swansea 1 
Sheff Utd 3 v Nottm Forest 1
Arsenal 2 v Liverpool 1
Jumatatu Februari 17 
22:45 Brighton v Hull

No comments:

Post a Comment