Msanii
wa muziki wa Bongo Fleva Dayna Nyange akikamua vilivyo usiku huu wa
Valentine Day katika Ukumbi wa JB Belmonte Hotel katika jiji la Rocky
City (Mwanza) ambapo katika ukumbi huo huo alikuwepo na mkali wa muziki
Cindy Sanyu kutoka Nchini Uganda pamoja na wasanii wengine wa hapa
jijini Mwanza.

Dayna akiimba kwa hisia moja ya wimbo wake mbele ya mashabiki wake

Nivute kwako!!! ni wimbo wake Dayna akiuimba vyema Jukwaani
kwenye Ukumbi wa JB Belmonte Hotel katika jiji la Rocky City Valentine Day.

Dada Carol (kulia) akicheza pamoja na rafiki yake kumsindikiza msanii Dayna kwenye siku ya wapendano

Dayna akitoa tabasamu hapa!!! Mpaka Shabikia akamfata juu ya jukwaa!

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Dayna Nyange akicheza na Shabiki wake.

Cindy Sanyu kutoka Nchini Uganda...akaingia kwa stage!! ukumbi ukawaka moto!!!

Cindy
Sanyu kutoka Nchini Uganda(katikati) akicheza kwa pamoja na wanamuziki
wake kuwapa kile Wabongo walichomwitia katika ukumbi huu wa JB Belmonte
Hotel.

Majanga!! kazi ikakatika!

Hakika katushika Cindy
No comments:
Post a Comment