MPAMBANO WA MASUMBWI WAFANYIKA KILUVYA HUKU MSAGA SUMU NA KANGA MOJA WAKITOA BURUDANI
| Mabondia Robinson Msimbe kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ayubu Ula wakati wa mpambano wao uliofanyika Kiluvya madukani katika ukumbi wa Shimbikati Ula alishinda kwa point mpambano |
| Msanii Selemani Jabir 'Msagasumu' akitoa burudani katika
ukumbi wa Shimbikati Kiluvya kabla ya mpambano wa masumbwi
uliofanyika katika ukumbi huo jana |
MABONDIA WAKIONESHABA UBABE WAKATI WA MPAMBANO ULIOFANYIKA KILUVYA MADUKANI KATIKA UKUMBI WA SHIMBIKATI
| Msanii Selemani Jabir 'Msagasumu' akitoa burudani katika ukumbi wa Shimbikati Kiluvya maduka mawili kabla ya mpambano wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi huo jana kulia ni mmoja ya nmashabiki wake |
| Shabiki ambaye akuweza kujizuia baada ya kuona kanga moja wakifanya vitu vyao na kuamua kwenda kutunza kwa stail ya aina yake kama anavyoonekana katika picha |
| SHABIKI AKIMTUNZA MNERNGUAJI WA KANGA MOJA |
| KANGA MOJA WAKIFANYA VITU VYAO |
| MASHABIKI WAKIMSHANGILIA BONDIA WAO ALIYESHINDA |
|
|
MPAMBANO WA MASUMBWI UKIENDELEA
Post a Comment