MATUMLA NA NASSIB KUMALIZA UBISHI LEO

Bondia Mohamed Matumla kushoto na Nassibu Ramadhani wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao leo katika

ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam leo katikati ni promota wa mpambano huo kaike siraju


Promota Kaike Siraju akiwainua juu mikono Bondia Mohamed Matumla (kushoto) na Nassibu Ramadhani kwa ajili ya mpambano wao wa kugombea pikipiki siku ya sikukuu ya Xmasi

No comments