Sergio Aguero akifunga goli la pili dhidi ya Tottenham lililomfanya kuwa mshambuliaji huyo wa Manchester City kuwa 'most
efficient goal scorer' katika ligi ya England.
Mabao
mawili ya Sergio Aguero ndani ya dakika tisa katika mchezo dhidi ya
Tottenham yamemfanya kuwa mshambuliaji potent zaidi katika historia ya
ligi kuu ya England Premier League.
Mpiga
mabao huyo wa Manchester City amekuwa anauwezo wa ajabu wa kumalizia
anapokuwa mbele ya goli msimu huu akiwafanya akina Wayne Rooney, Luis
Suarez na Robin van Persie kufuata kivuli chake na wakati Muajentina
huyo akifanya vitu vyake katika mchezo wa ushindi wa mabao 6-0 katika
dimba la Etihad
Stadium dhidi ya Totternham hiyo jana, sasa ameipiku rekodi ya Thierry
Henry ya kufunga magoli kwa wastani wa dakika alizocheza.
Uwezo
wake binafsi na ushirikiano uliopo baina yake na Alvaro Negredo,
umemfanya awe ni mwenye thamani kubwa huku mshambuliaji huyo akitarajiwa
kujiimarisha zaidi kama mchezaji mkubwa katika michuano ya kombe la
dunia nchini Brazil kiangazi.
Lakini
wakati Aguero akiwa katika msimu wake wa tatu ndani wa Premier League
sasa amekuwa ni mfungaji wa magoli wa dakika chache (In terms of minutes
per
goal) pia mfungaji hatari wa kujivunia ndani ya Premier League.
Aguero
aliungana na City akitokea Atletico Madrid mwaka 2011 amefunga mabao 45 ndani ya dakika 5379 wastani wa goli kila dakika 119.5.
CHINI NI ORODHA YA WASHAMBILIAJI 10 WA PREMIER LEAGEU KWA WASTANI WA MAGOLI KWA DAKIKA
10. Ian Wright
Goals: 113, minutes played, 17781, minutes per goal: 157.4
Right stuff: Ian Wright enjoyed his best goal-scoring form at Arsenal.
9. Luis Suarez
Goals: 47, minutes played: 7242, minutes per goal: 154.1
Liverpool legend? Suarez was also among the goals at the weekend but his strike rate is not as good as Aguero's
8. Michael Owen
Goals: 150, minutes played: 23033, minutes per goal: 153.6
Red hot: Michael Owen enjoyed his best goal
scoring form at Liverpool before moves to Real Madrid, Newcastle, Man
United and Stoke.
7. Ole Gunnar Solskjaer
Goals: 91, minutes played: 13926, minutes per goal: 153.0
Super sub: Ole Gunnar Solskjaer was often deployed from the bench at Man United to deadly effect.
6. Alan Shearer
Goals: 260, minutes played: 38183, minutes per goal: 146.9
Geordie favourite: Alan Shearer's goal scoring record for Newcastle made him a club legend at St James' Park.
5. Daniel Sturridge
Goals: 45, minutes played: 6518, minutes per goal: 144.8
Nice moves: Sturridge has scored in the Premier League for Manchester City, Bolton, Chelsea and Liverpool.
4. Robin van Persie
Goals: 129, minutes played: 17239, minutes per goal: 133.6
Deadly Dutchman: Robin van Persie has had a dip
in form since David Moyes took over at Manchester United but he is still
one of the world's best strikers.
3. Ruud van Nistelrooy
Goals: 95, minutes played: 12178, minutes per goal: 128.2
Old Trafford terror: Ruud van Nistelrooy is one of four Man United strikers to feature in the top 10 chart.
2. Thierry Henry
Goals: 175, minutes played: 21313, minutes per goal: 121.8
Dethroning the King: Thierry Henry previously held the record as the Premier League's most clinical striker.
1. Sergio Aguero
Goals: 45, minutes played: 5379, minutes per goal: 119.5
Strike: Hugo Lloris watches on as frontman Sergio Aguero extends Man City's lead before half-time.
No comments:
Post a Comment