Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, November 11, 2013

MANCHESTER UNITED ILIPOIFUNGA ARSENAL1-0, KATIKA ENGLISH PREMIER LEAGUEMUUAJI ROBIN VAN PERSIE, HUKU VIDIC AKIWAISHWA HOSPITALI KWA MATIBABU, KOCHA MOYES AFURAHIA USHINDI HUO BAADA YA UNITED KUJITUPA NAFASI YA TANO.


Big goal: Robin van Persie's header gave Manchester United all three points in their clash with Arsenal
Robin van Persie akishangilia baada ya kuifungia bao Manchester Unitedkipindi cha kwanza dakika ya 27 na kufanya mtanange uishe kwa bao hilo hilo la pekee la kichwa baada ya kupigwa kona na Wayne Rooney.
Rising highest: Van Persie's header from a corner looped over Wojciech Szczesny and Keiran Gibbs into the far corner
Manchester United leo wamewaonyesha Vinara wa Ligi Kuu England Arsenal nani Bosi wa England kwa kuwanyuka Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 27 la Robin van Persie Uwanjani Old Trafford ambalo limewafanya wapande hadi Nafasi ya 5 wakiwa Pointi 5 tu nyuma ya Arsenal.
Goal: Robin van Persie makes it 1-0Manchester United wamesimamisha mbio za Arsenal kileleni mwa Ligi Kuu England kwa kuwafunga Bao 1-0 kwa Bao la kichwa cha Robin van Persie cha Dakika ya 27 kufuatia Kona ya Wayne Rooney.
Arsenal walishindwa kabisa kumfikia Kipa wa Man United David De Gea na walikuwa wamefifia kabisa.
Kipigo hiki kinaendeleza vipigo vya Man United kwa Arsenal ambao mara ya mwisho kuwafunga Man United ni Mwaka 2011 na mara ya mwisho kushinda Uwanjani Old Trafford ni Mwaka wa 2006.
Goal: Robin van Persie makes it 1-0Van Persie akitupia kwa kichwa na kuziona nyavu za Arsenal
Crucial: David Moyes' team are back in the title race after a vital win
Kocha  David Moyes wa United akishangilia bao hilo la Van Persie
Frustrating: Arsene Wenger saw his side under-perform compared to their showings in recent weeks
Kocha Arsene Wenger akijionea mwenyewe timu yake ikibamizwa uwanjani Old Trafford
Nemesis: Van Persie scored another goal against his former club
Van Persieakishangilia baada y kuiua timu yake ya zamani Arsenal

Wachezaji wa Manchester United wakishangilia na kupongezana baada ya kupata bao Chini ni Robin Van Persie na Roney
Star man: Wayne Rooney's energetic performance inspired Manchester United to victory at Old Trafford
Wayne Rooney akikabwa na mtu mbili Old Trafford

Majanga kipa wa Gunners Szczesny akijiuguza baada ya kugongana vichwa na mchezaji wa United Phil Jones

Kipa David de Gea na Nemanja Vidic wakigongana kwa nguvu na Vidic kuumia na kutolewa nje kipindi cha kwanza mwishoni

Nemanja Vidic chini baada ya kuumia

Vidic aliondolewa na kupelekwa haraka hospitali kwa matibabu zaidi na nafasi yake kuchukuliwa na Tom
Veteran Ryan Giggsnae ameingia kucheza kipindi cha pili

Wengerakimwangalia kijana wake Kieran Gibbs akichuana na Antonio Valencia

Patrice Evra akitaka kumtoka Mesut Ozil
Shinji Kagawa na Bacary Sagna wakikabana

Sagna akiondosha mpira dhidi ya Kagawa
VIKOSI:
MAN UNITED:
De Gea, Smalling, Vidic (Cleverley 45), Evans, Evra, Valencia, Jones, Carrick, Kagawa (Giggs 78), Rooney, Van Persie (Fellaini 85).
Subs not used: Giggs, Lindegaard, Hernandez, Nani, Januzaj.
Booked: Jones, Rooney
Goals: Van Persie 27.

ARSENAL:
Szczesny, Sagna, Koscielny, Vermaelen, Gibbs, Arteta (Gnabry 82), Flamini (Wilshere 61), Ramsey, Ozil, Cazorla (Bendtner 78), Giroud.
Subs not used: Monreal, Fabianski, Bendtner, Jenkinson, Hayden.
Booked: Sagna, Flamini, Wilshere
Ref: Michael Oliver
Att: 75,138



MATOKEO:
Jumapili Novemba 10

Tottenham 0 v Newcastle 1
Sunderland 0 v Man City 1
Man United 1v Arsenal 0
Swansea 3 v Stoke 3

No comments:

Post a Comment