Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, October 3, 2013

WARUNDI KUCHEZESHA WANAWAKE U20 KOMBE LA DUNIA

KUFURU LA BIRTHDAY PARTY LA SUPER STAR DIAMOND NA BABES WAKE WA UKWHEEEEH!! SUPER PENNY!! HAWA NI WAKAREEEZ SO WAACHENI WALALE BASI KIDOGO DAAAAMN!!

 Ujumbe mzuri na umejitosheleza sidhani kama kuna swali jingine tena.
Hii ndo habari ya Mujini weekend hii #sawaaaaaaaaa
Penny umetishaaaaa salute to u 
 Mambo ya D na P 
 Mapenzi ya ukweee'
Wasafiiiiiiiiiiiii na unambiwaa ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS.
Well picha zinaongea tena sana na hii ilikuwa ni jana katika party ya Birthday ya Prezident wa Wasafi Diamond Platnumz. Party ilikuwa na watu wengine kama vile dada zake Diamond Halimakimwana, Queen Darleen & Esma Platnumz.
Dada ya Diamond aka wifi yake Penny akionjeshwa cake.
- See more at: http://williammalecela.blogspot.com/2013/10/kufuru-la-birthday-party-la-super-star.html?spref=fb#sthash.QFEOEn3b.dpuf

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka Burundi kuchezesha mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia kwa wanawake chini ya miaka 20 Kanda ya Afrika kati ya Tanzania na Msumbiji.

Waamuzi hao watakaochezesha mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya kwanza itakayofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kati ya Oktoba 26 na 27 mwaka huu wataongozwa na Ines Niyonsara. Atasaidiwa na Jacqueline Ndimurukundo na Axelle Shikana.

Irene Namiburu kutoka Uganda ndiye atakayekuwa mwamuzi wa mezani wakati Kamishna wa mechi hiyo ni Evelyn Awuor wa Kenya. Mechi ya marudiano itachezwa jijini Maputo kati ya Novemba 9 na 10 mwaka huu, na itachezeshwa na waamuzi kutoka Madagascar.

Fainali hizo za Kombe la Dunia zitafanyika mwakani nchini Canada, ambapo Tanzania inashiriki kwa mara ya kwanza michuano hiyo ya Kombe la Dunia kwa wasichana.

Timu ya Tanzania tayari imepiga kambi mkoani Pwani ikiwa chini ya Kocha wake Rogasian Kaijage.

Wachezaji walioko kambini ni Amina Ally, Amina Ramadhan, Amisa Athuman, Anastazia Anthony, Anna Hebron, Belina Julius, Donisia Daniel, Esther Mayala, Fatuma Issa, Gerwa Lugomba, Happiness Lazoni, Harriet Edward, Hellen Maduka, Irene Ndibalema, Jane Cloud, Khadija Hiza na Latifa Salum.

Wengine ni Maimuna Hamis, Mwanaidi Khamis, Najiati Abbas, Neema Paul, Niwael Khalfan, Rehema Abdul, Sabahi Hashim, Sada Ramadhan, Shamimo Hamis, Shelder Boniface, Stumai Abdallah, Tatu Idd, Therese Yona, Violet Nicholas, Vumilia Maarifa, Yulitha Kimbuya na Zena Said. 

No comments:

Post a Comment