
Mapema
Asubuhi hii Ndege ya Precision Air ikiingia kwenye uwanja wa Ndege wa
Bukoba, kuwaleta wachezaji wa Yanga ambao wanatarajia kucheza mchezo wao
na Wenyeji Kagera Sugar kesho kutwa Jumamosi.

Wachezaji wa Yanga wakishuka, mbele ni Mbuyu Twite wakishuka uwanja wa Ndege Bukoba

Nizar Khalfani nae yupo kwenye kikosi

Wachezaji wakiendelea kushuka kwenye ndege

Tayari wamekanyaga Ardhi ya Bukoba

Kama kawaida: kushoto ni Khalfan Ngassa kulia ni Niyonzima

Picha ya Pamoja Viongozi na wachezaji

Dida kushoto akipata picha ya pamoja na wenzake

Kocha mkuu wa timu ya Yanga

Asante tumefika salama kazi ni moja ...ushindi ni muhimu Kaitaba

Niyonzima akiwa na Mdau wake wa bukobasports.com

Kelvin Yondani akifurahia baada ya kutua Bukoba asubuhi hii.

Bw. Jamal kalumuna kushoto akiwa na kiongozi wa Yanga

Smart Hotel

Wachezaji wakiingia Smart Hotel

Bw. Ernest Nyambo na Jamal Kalumuna wadau wakubwa wa Yanga Bukoba.
No comments:
Post a Comment