Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, October 4, 2013

RATIBA LIGI KUU ENGLAND WIKIENDI HII, JUMAMOSI NI MANCHESTER CITY vs EVERTON ...

Jumamosi October 5, 2013
14:45 Manchester City v Everton
17:00 Cardiff City v Newcastle United
17:00 Fulham v Stoke City
17:00 Hull City v Aston Villa
17:00 Liverpool v Crystal Palace
19:30 Sunderland v Manchester United


Jumapili  October
6, 2013
15:30 Norwich City v Chelsea
15:30 Southampton v Swansea City
18:00 West Bromwich Albion v Arsenal
18:00 Tottenham Hotspur v West Ham United

 
Everton, ambao ndio timu pekee haijafungwa kwenye Ligi Msimu huu, wanasafiri kwenda kukutana na Man City ambayo Juzi ilibandikwa Bao 3-1.
Kipigo hicho kilifuata kile Wikiendi iliyopita walipochapwa 3-2 na Aston Villa kwenye Ligi.
Uwanjani Etihad, Everton wamefungwa na City Mechi moja tu kati ya 6 walizocheza mwisho.
Everton ya sasa, chini ya Meneja mpya Roberto Martinez, inamtumia Kijana mdogo Ross Barkley ambae ameonyesha uwezo mkubwa.
All smiles: Remnants of the midweek couldn't be seen at training, with City players sharing a laugh
Wote wakifurahia hapa ...wakati wa mazoezi

Round in circles! Pellegrini had his players enjoying training ahead of Everton
Pellegrini aliwaongoza wachezaji wake kwenye mazoezi kujiweka fiti na mtanange wa  Everton

aBaadhi ya wachezaji wa Manchester City wakiwa kwenye mazoezi

Swali ni Je? Manuel Pellegrin kocha mpya wa Man City ataweza kuiongoza timu hiyo na kushinda kwa mtanange huo wa jumamosi utakao chezwa mapema saa nane na dakika 45?

No comments:

Post a Comment