Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, October 4, 2013

ARSENE WENGER AMJIA JUU JACK WILSERE KWA KUVUTA SIGARA

MENEJA wa Arsenal Arsene Wenger amemuonya Kiungo wake Jack Wilshere hadharani baada kupigwa picha akivuta Sigara.
Wilshere alipigwa picha akiwa na Sigara mkononi nje ya Klabu ya Usiku Jijini London Usiku wa baada ya Mechi ambayo Arsenal iliifunga Napoli 2-0 kwenye UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
Hata hivyo, Wenger alikataa kuzungumza nini hasa ataongea na Wilshere na adhabu gani ya utovu wa nidhamu atapewa na badala yake alisisitiza kuwa Kiungo huyo mweye Miaka 21 ni mmoja wa Wachezaji muhimu wa Kikosi chake.


JACK WILSHERE SI WA KWANZA KUONEKA AKIVUTA WAPO WENGINE WAVUTAJI.
Ashley Cole na Dimitar Berbatov

Wayne Rooney

Mchezaji wa zamani wa  Manchester City  Mario Balotelli

No comments:

Post a Comment