Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, August 15, 2013

SUAREZ APUUZA TAARIFA ZA KUWA ATASALIA LIVERPOOL MSIMU UJAO


Luis Suarez
Luis Suarez

In action: Suarez turned out for Uruguay on Wednesday against Japan in a 4-2 win
Ball's in his court: Luis Suarez claimed he wants to stay at Liverpool, according to the Uruguayan media
Dynamic duo: Suarez (left) celebrates with striking partner Diego Forlan after scoring Uruguay's third goal
Suarez (kushoto) akishangilia na mshambuliaji mwenzake Diego Forlan baada ya kufunga goli safi la tatu.
Sakata la Luis Suarez limeingia katika sura mpya kufuatia kulishwa maneno na mwandishi wa habari wa gazeti la nchini Uruguay la El Observador ambaye alimnukuu mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Uruguay akisema anataka kusalia katika klabu yake ya Liverpool.
Inavyoonekana ni kwamba mshambuliaji huyo amekanusha kauli iliyonukuliwa kwa kichwa cha habari ‘For now, owing to all the affection of the people, I would be staying.’ Lakini baada ya mchezo ambao Uruguay ilishinda kwa mabao 4-2 dhidi ya Japan jana mchezo ambao Suarez alifunga goli mshambuliaji huyo aliripotiwa akisema sikusema hivyo. Pengine kuna mtu mwingine aliyesema hayo na kubwa zaidi ni kwamba niko hapa na timu na timu ya taifa.

No comments:

Post a Comment