CAPITAL ONE CUP: DROO YA RAUNDI YA 3, MANCHESTER UNITED vs LIVERPOOL, MABINGWA WATETEZI SWANSEA KUANZA UTETEZI NA BIRMINGHAM
Mabingwa Watetezi
Swansea City wamepangiwa kwenda kucheza Ugenini na Timu ya Daraja la
Championship Birmingham.
Mechi
zitakazohusisha Timu za Ligi Kuu pekee ni zile za Aston Villa v Tottenham, West
Brom v Arsenal, West Ham v Cardiff na Everton v Fulham.
Mechi hiyo ya Man
United v Liverpool huenda ikawa ndio Mechi ya kwanza ya Luis Suarez baada ya
kumaliza Kifungo chake cha Mechi 10 kwa kumng’ata Branisla Ivanovic wa Chelsea
kwenye Mechi.
DROO YA
RAUNDI YA 3
[Mechi kuchezwa Septemba 24 na 25]
Man Utd v
Liverpool
Sunderland v Peterborough
West Ham v Cardiff
Man City v Wigan
Burnley v Nottingham Forest
Newcastle v Leeds
Southampton v Bristol City
West Brom v Arsenal
Swindon v Chelsea
Tranmere v Stoke
Watford v Norwich
Aston Villa v Tottenham
Hull v Huddersfield
Leicester v Derby
Birmingham v Swansea
Fulham v Everton
Sunderland v Peterborough
West Ham v Cardiff
Man City v Wigan
Burnley v Nottingham Forest
Newcastle v Leeds
Southampton v Bristol City
West Brom v Arsenal
Swindon v Chelsea
Tranmere v Stoke
Watford v Norwich
Aston Villa v Tottenham
Hull v Huddersfield
Leicester v Derby
Birmingham v Swansea
Fulham v Everton
Post a Comment