KLABU ya
Besiktas ya Uturuki imeshindwa rufani yao waliyokata kupinga kufungiwa na
Shirikisho la Soka barani Ulaya-UEFA kwa kujihusisha na upangaji matokeo ya
baadhi ya mechi za ligi.Mahakama ya Usuluhishi ya
Michezo-CAS ilitangaza uamuzi wake wa kutupilia mbali rufani iliyokatwa na klabu
hiyo hivyo kuendelea na kifungo chao cha mwaka mmoja walichopewa na UEFA na
kufanya klabu hiyo kuenguliwa katika michuano ya Europa League msimu huu. Nafasi
yake katika hatua ya makundi itachukuliwa na klabu ya Tromso ya Norway pamoja na
kuwafunga katika mechi ya mtoano iliyochezwa jana. Klabu ya Fenerbahce nayo
nafasi yake itachukuliwa na klabu ya APOEL ya Cyprus baada ya wao pia kushindwa
katika rufani yao waliyopeleka CAS.
NAMUNGO FC YAICHAPA COASTAL UNION 1-0 RUANGWA
-
TIMU ya Namungo FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union
katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa
Majaliwa, Rua...
RAIS SAMIA AKABIDHIWA GARI AINA YA JEEP WRANGLER
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
akipokea ufunguo wa gari aina ya Jeep Wrangler kutoka kwa Bw. Khalid Al
Barwani, li...
Tarangire in a Heartbeat!
-
Big thanks to *Divine Eneja and Milou* for choosing Mobila Safaris for
their epic Tarangire day trip!
From the giant Baobabs to the massive ...
Post a Comment