Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, July 4, 2013

WACHINA WAKABIDHI UWANJA WA TAIFA LEO


 Balozi wa China, Lu Youqung akiweka sahihi katika hati ya makabidhiano ya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara.  Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga na Balozi wa China, Lu Youqung wakati wa hafla ya makabidhiano ya uwanja wa Taifa.Balozi wa China, Lu Youqung  akimkabidhi ufunguo Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara kama ishara ya makabidhiano rasmi ya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.

No comments:

Post a Comment