Vilanova alikutwa na kansa mwaka 2011 na kupatiwa matibabu kabla ya ugonjwa huo kujitokeza tena mwaka uliopita.
Vilanova mwenye umri wa miaka 44 alifanyiwa upasuaji Desemba 2012 na kutumikia wiki 10 jijini New York ambapo alifanyiwa tiba ya chemotherapy na radiotherapy kabla ya kurejea kazini mwezi March kukitumikia kikisi chake ambacho kilitwa taji la ligi ya Hispania.
Mkutano huo na waandishi wa habari umeitishwa huko Nou Camp na utafanyika usiku huu.Raia wa klabu hiyo Sandro Rosell na mkutugenzi wa soka Andoni Zubizarreta watazungumza na waandishi wa habari.Vilanova alichukua nafasi ya Pep Guardiola kama meneja June 2012, ambako kabla ya uteuzi wake alikuwa ni msaidizi wa Pep.
No comments:
Post a Comment