Mfungaji mwingine wa United alikuwa ni Robin van Persie aliyeingia kuchukua nafasi ya kinda Jesse Lingard, mchezaji anayeonekana kuwa atakuwa mwiba hapo baadaye ambaye amekuwa akitumika kuziba nafasi za majeruhi katika ziara hiyo.
Kinda huyo alifunga goli la kwanza na la tatu magoli ambayo yatakuwa kumbukumbu nzuri kwa mashabiki takribani 83,000 walioshuhudia mchezo huo.
Huge support: 80,000 fans turned up to watch the match
No comments:
Post a Comment