Quinton Fortune,
Mchezaji wa zamani wa Manchester United ambaye kwa sasa anasomea fani ya ualimu
wa soka kwenye kompaundi ya Manchester United alipotembelea Azam FC Chamazi leo
kwa mwaliko wa DHL, Fortune alishangazwa na ubora wa Center ya Azam FC na kusema
hajawahi kuona kitu kama hiki kinachomilikiwa na klabu hata kwenye nchi yake ya
Afrika ya Kusini. (HM)
Quinton
Fortune, Mchezaji wa zamani wa Manchester United akizungumza na waandishi wa
habari katika uwanja wa Azam complex Quinton
Fortune, Mchezaji wa zamani wa Manchester United akifanya mazoezi kidogo katika
chumba cha mazoezi cha Azam.
No comments:
Post a Comment