Kikosi kazi cha Skylight Band kikitoa burudani katika Uwanja wao wa nyumbani Thai Village Ijumaa iliyopita, na Ijumaa hii kama kawaida watalisongesha pale pale….Karibuni wote.
Wadau wakubwa wa Skylight Band wakisakata Rhumba la Skylight Band polepole bila bugudha kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia.
Nyomi ya Mashabiki wa Skylight Band kwa raha zao wakiburudika.
Wadada walipendezaje cheki unyayo huo.
Kwa raha zao.
Bata likiendelea….Palikuwa hapatoshi…!
Mduara ulihusika pia.
Sony Masamba, Sam Mapenzi na Mary Lucos wakiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wao wa Skylight Band.
Fans wa Skylight Band wakipata Ukodak.
Dagma nae na washikaji zake aliwakilissha
Wadau wa ukweli…All the way from Manchester UK walitua Bongo kushuhudia Skylight Band Live. Karibuni sana.
Ilikuwa ni balaa Bata mwanzo mwisho….usikose shabiki wake Ukweli wa Skylight Band Ijumaa hii.
No comments:
Post a Comment