Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, July 11, 2013

Mteja wa Airtel tumia AIRTEL YATOSHA Jumba Hilooo

 Kodi ya Nyumba kwa heriii, tumia AIRTEL YATOSHA ujishindie nyumba yako, Kelele za wapangaji tupa kuleee, Airtel Yatosha ndo habari ya Tanzania Zimebaki siku 20 tu mwenye nyumba ya kwanza ya YATOSHA hadharani.
   Huu ndo mjumba wa kifahari utakaoshinda kupitia droo ya mwisho wa mwezi Hii ni sehemu ya mbele ya Nyumba mojawapo ya AIRTEL YATOSHA Nyumba hizi zimejengwa kwa mpangilio maalum  na wataalam  kutoka shirika makini la nyumba Tanzania (National Housing Corporation) Mahali iliko ni Kigamboni Kibada wilaya ya Temeke General View ukiwa maeneo ya nyumba iliko Vitu vizuri unavyoweza kuviona ukiwa nyumbani kwako endapo utaibuka mshindi ni pamoja na Uwanja wa Taifa, uwanja wa ndege na utaweza kujione vizuri vikwangua anga vya jijini Dar es Salaam kama vile PPF Tower, Uhuru height, Jubilee Tower, Serena Hotel
n.k Jiunge na kifurishi cha Airtel Yatosha SIKU, WIKI au MWEZI kwa kupiga *149*99# na chagua kifurushi kitakachokufaa ili uwe mmoja wa washindi watakaofaidika na nyumba hizi
 Muonekano halisi wa nyumba ya kisasa

No comments:

Post a Comment