Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, July 25, 2013

MANCHESTER UNITED WAONDOKA YOKOHAMA NA KUELEKEA OSAKA BAADA YA MATOKEO MABOVU YA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA.


All aboard: United's squad get ready to leave Yokohama for OsakaWachezaji wa United wakiondoka Yokohama na kuelekea Osaka.
Cheer up, Steve: Moyes looks considerably happier that his assistant Steve RoundMoyes akionekana ni mwenye furaha akiwa karibu na msaidizi wake Steve Round.
Farewell: Ferdinand takes one last picture on his phone before leaving YokohamaFerdinand akipiga picha ya mwisho kwa kutumia simu yake ya mkononi kabla ya kuondoka Yokohama hii leo.
All smiles: Coach Phil Neville has a photo with a fan before boarding the trainKocha Phil Neville akipiga picha na shabiki kabla ya kupanda treni ya kasi kulekea Osaka.

Kikosi cha David Moyes kimeondoka Yokohama na kuelekea Osaka kwa treni ya mwendo kasi hii leo.
United imeelekea Kusini-Magharibi ya Japan kabla ya mchezo mwingine Ijumaa dhidi ya Cerezo Osaka ikiwa ni baada ya kupoteza mchezo wa pili katika jumla ya michezo mitatu mpaka sasa dhidi ya Yokohama F Marinos hiyo jana. 
Mshabiki walifurika huko Yokohama na Osaka kuwapa mkono wa kwaheri akina Rio Ferdinand na Ryan Giggs, wakati ambapo meneja Moyes akionekana kuwa katika hali ya kawaida licha ya kiwango kibovu cha kikosin chake katika pre-season.
Red faced: United lost 3-2 in Yokohama on TuesdayKichapo cha 3-2 kutoka kwa Yokohama jana. 
Baada ya mchezo wao wa Ijumaa dhidi ya Osaka United wataelekea Hong Kong kucheza na Kitchee kabla ya kukabiliana na AIK mjini Stockholm na baadaye Sevilla katika dimba la Old Trafford.
Touchdown: Ferdinand and Ashley Young alight in OsakaFerdinand na Ashley Young wakiwasili Osaka
Back to business: Giggs and Co face Cerezo Osaka on FridayGiggs.

No comments:

Post a Comment