Omari Kimweri |
Aliongeza kwa kusema kuwa unajua mimi ni Bingwa hivyo sito kubali kupoteza mpambano huo utakaofanyika katika ukumbi wa The Melbourne Pavilion nchini Australia mpambano huo utakaosimamiwa na kamisheni ya nchi hiyo umekuwa gumzo kila kona kwa kuwa bondia Mtanzania Kimweri amejizolea umaarufu mkubwa nchini humo
Bondia huyo aliyeanza kujishulisha na mchezo wa ngumi za kulipwa nchini Australia mwaka 2007
Mpaka sasa akiendelea na shughuli zake hizo amesema lengo lake kubwa ni kuchukuwa mikanda inayotambulika kimataifa ingwa yeye kwa sasa ni bingwa wa WBO ambapo aliupata kwa kumtwanga bondia Panmongkol Ekarin wa Thailand bondia huyo amewaomba watanzania kumuombea duwa kwani ana kibarua kizito cha kuitanganza nchi yake kimataifa bondia huyo mwenye uraia wa nchi mbili Tanzania na Austalia amesema ana mpango wa kuja Tanzania na kuzamini mchezo uho kama mfadhili endapo marengo yake yatatimia alisema 'mimi nataka nije kupigana Tanzania nikiwa mchezaji na promota vile vile hivyo nafanya mpango huo mambo yakiwa mazuri nitakuja bongo ili nifanye uwekezaji katika Boxing '
Bondia huyo mpaka sasa amekwisha cheza mapambano 15 akishinda 12 na kupoteza mapambano matatu bondia huyo anayefananishwa na Simba muwindaji amekuwa tishio kwa mabondia wenye uzito wake kwa niaba ya watanzania wote tunaungana kumsapoti bondia Omari Kimweri anayefanya kazi zake nchini Austalia aweze kushinda mpambano waku huo Mungu Ibariki Africa,Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Mbariki Bondia Omari Kimweri, AMIN
No comments:
Post a Comment