Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, July 22, 2013

LIVERPOOL YAIFUNGA INDONESIA BAO 2-0 MJINI JAKARTA

On target: Phillippe Coutinho opened the scoring in Jakarta
Phillippe Coutinho akifunga goli la kwanza huko Jakarta
Philippe Coutinho Sehemu mbalimbali za dunia habari ni ileile kwa Liverpool. Kama ilivyokuwa katika mchezo wa wiki iliyopita mjini Preston, Luis Suarez alionekana kuwa moto lakini Philippe Coutinho alikuwa ndiye nyota wa mchezo.VikosiIndonesia XI: Meiga, Maitimo, M. Roby (Sinaga 72), Igbonefo, Ruben Sanadi, Bustomi, Taufiq, Titus Bonai, Ferdinand, Boaz, Van Dijk (Boas 55).Liverpool: Mignolet: Johnson (Kelly 65), Toure (Wisdom 65), Agger (Skrtel 65), Enrique (Robinson 46): Gerrard (Allen 45), Lucas (Henderson 65), Alberto (Assaidi 65): Downing (Ibe 65), Aspas (Borini 65), Coutinho (Sterling 65).Subs not used: Jones, Spearing, Flanagan.Goals: Coutinho 10, Sterling 87.
Getting a run out: Steven Gerrard played for the first half in sweltering heatSteven Gerrard alicheza kipindi cha kwanza. Getting stuck in: Lucas Leiva takes no chances against TaufikLucas Leiva akipambana na Taufik.
On show: New boy Iago Aspas played 65 minutesNyota mpya Iago Aspas alicheza kwa dakika 65.
Taking it easy: Brendan Rodgers watches proceedings from the dugoutBrendan Rodgers akionekana mwenye matumaini katika dugout.
In memory: Liverpool fans hold up a banner of Ann Williams, heroine of the Hillsborough campaignKumbukumbyu: Mshabiki wa Liverpool wakishika kitambaa cha Ann Williams, mwanakampeni wa heroine wa Hillsborough
Spelling it out: Liverpool supporters make their feelings known on Luis SuarezMshabiki wa Liverpool wakionyesha hisia zao kwa Luis Suarez.

No comments:

Post a Comment