KOCHA wa zamani wa Barcelona ambae ndie mpya kwa Bayern Munich, Pep Guardiola, leo alibadilisha Mfumo wa Mabingwa hao wa Ulaya na kuwawezesha Bayern Munich kuichapa Barcelona Bao 2-0 katika Mechi iliyochezwa Allianz Arena, Munich.
Mario Mandzukic akifunga bao hapa
Bayern walipata Bao la kwanza kufuatia krosi ya Franck Ribery kuunganishwa kwa kichwa na Philipp Lahm.
Katika Kipindi cha Pili kila upande ulifanya mabadiliko ya Wachezaji na mmoja wa hao alietoka Benchi, Mario Mandzukic, ndie alieipa Bayern Bao la pili.
Thiago na Boateng wakimwekea ngumu Messi
Frank Ribery akicheza kama hataki vile leo hii...
Guardiola leo kachezesha kikosi cha kuikamata koo
Barcelona...
VIKOSI:
Bayern
Munich: Neuer (Starke 46), Rafinha, Dante (Van Buyten 59), Boateng, Alaba,
Thiago, Lahm (Gustavo 59), Kroos, Ribery, Robben (Shaqiri 46), Muller (Mandzukic
46).
Goal: Lahm 14, Mandzukic 87.
Barcelona: Pinto (Oier 46), Montoya (Kiko 46), Bartra (Gomez 46), Mascherano (Planas 46), Adriano (Patric 46), Song (Espinosa 46), Sergi Roberto (Ilie 46), Dos Santos (Quintilla 46), Tello (Joan Roman 46), Messi (Dongou 46), Alexis (Dani Nieto 46).

No comments:
Post a Comment