KLABU TATU za England, Chelsea, Tottenham na Newcastle, jana, Aprili 4 zikiwa dimbani kucheza Mechi za kwanza za Robo Fainali huku Chelsea na Tottenham wakianzia Nyumbani na Newcastle kucheza ugenini. Chelsea wameibuka na ushindi wa bao 3-1 dhidi ya Rubin Kazan.
Gylfi Sigurdsson akiwafungia bao Spurs katika dakika ya 58 kipindi cha pili.
Wao Benfica
wameichapa Newcastle bao 3-1 bao zilizofungwa kipindi cha kwanza na chapili
kupitia kwa Rodrigo dakika ya 25' na Lima akifunga bao la pili katika dakika ya
65' na Óscar Cardozo akimaliza la tatu kwa mkwaju wa penati dakika ya 71' huku
Papiss Demba Cisse akifunga bao la kufutia machozi na akianza kuwafungia
Newcastle dakika ya 12.
Ogenyi Onazi akifanya ndivyo sivyo hapa na huku akiwa na kadi ya njano na hiki kimesababisha atolewe kwa kadi nyekundu hapa
Kipa wa Chelsea Petr Cech akiruka kupangua mpira na huku David Luiz akiunyemelea mpira huo
Mchezaji Emmanuel Adebayor akifunga goli la kwanza dakika ya 40
Victor Moses akitupia bao la pili hapa
Rodrigoakishangilia baada ya kusawazisha.
Fernando Torres kwenye patashika na mchezaji wa Rubin Kazan
Fernando Torres akishangilia baada ya kazi nzuri
Papiss Cisse akifunga bao la pekee dakika ya 12
Mchezaji wa Fenerbahce Pierre Webo (kushoto) akimenyana na mchezaji wa Lazio Hernanes
Mchezaji wa Tottenham Lewis Holtby akichuana na Mohamed Salah usiku
No comments:
Post a Comment