Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, February 23, 2013

ARSENAL YAIFUNGA ASTON VILLA 2-1

LEO kwenye English Premier League Timu ya Arsenal imeweza kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Aston Villa. Bao zilizofungwa na mchezaji wao machachali Santi Cazorla, goli la kwanza amelifunga mapema dakika ya 6 lakini Andreas Weimann alisawazisha kwa Shuti la Mita 20 kipindi cha pili dakika ya 68 na kufanya 1-1. Dakika ya 85 dakika 5 kabla Mechi kumalizika Beki Nacho Monreal alimtengezea Cazorla na hatimaye kutofanya kosa na kuweza kuziona nyavu za timu pinzani Aston Villa na kuipatia ushindi huo timu yake Arsenal. Ushindi huu umeiweka Arsenal nafasi ya 5 wakiwa na pointi 48 nyuma ya pointi 1 ya Spurs wanaocheza kesho wenye pionti 49.
Nathan Baker akiondosha mpira kwa Carl Jenkinson Kocha wa Aston Villa Paul Lambert akiwaelekeza wachezaji wake Jack Wilshere akiongoza mpira Gabriel Agbonlahor akigombea mpira kutoka kwa Carl JenkinsonDakika ya 6 Cazorla akiziona nyavu... hapa akifurahia Ushindi mtamu..
Arsene Wenger akiwaonesha kwa ishara wachezaji wake ili kuishinda timu hiyo ya Aston Villa.Andreas Weimann akiipatia timu ya Aston Villa goli la kusawazisha dakika ya 68Santi Cazorla akiipatia goli la ushindi dakika 5 kabla ya mpira kuishaArsene Wenger hakuwa sawa leo hii pamoja na kushinda mechi hiyo...

Furious: Arsene Wenger was unhappy with Aston Villa's equaliser
Arsene Wenger akitoa mifano ya makosa ambayo Wachezaji wake wanajisahau sana na hatimaye kuwa wanafungwa mara kwa mara.

Wachezaji wa Arsene Wenger wakipongezana.
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny, Jenkinson (Podolski 76), Mertesacker, Vermaelen, Monreal, Diaby (Ramsey 60), Arteta, Cazorla, Wilshere, Walcott (Koscielny 90), Giroud.
Subs not used: Mannone, Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Gervinho.
Booked: Diaby.
Goals: Cazorla 6, 85.
Aston Villa: Guzan, Lowton, Clark, Baker, Bennett, Delph, Westwood (El Ahmadi 72), N'Zogbia (Dawkins 82), Weimann, Benteke, Agbonlahor.
Subs not used: Marshall, Holman, Sylla, Bowery, Lichaj.
Booked: Lowton, Delph.
Goals: Weimann 68.
Att: 60,079
Referee: Martin Atkinson

No comments:

Post a Comment