Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, November 4, 2017

35 WAITWA TIMU YA TAIFA YA SOKA YA U-23 'KILIMANJARO WORRIORS'

WACHEZAJI 35 wameitwa kwa ajili ya kuingia kambini Novemba 5 kutafuta kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana waliochini ya miaka 23. 'Kilimanjaro Worriors' 
Akizungumza na wandishi wa habari jana, Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas alisema wachezaji hao watakaa kambini kwa siku kumi. 
"Timu hii itakaa kambini kwa siku 10 na itafanyika mchujo kupata timu ya Taifa ya Vijana U-23 itakayojiandaa na kutafuta kufuzu fainali za Afrika 2019," alisema Lucas 
Wachezaji walioitwa ni makipa Metacha Mnata  wa Azam FC, Joseph Ilunda wa JKT Ruvu, Liza Mwafwea wa Tanzania Prisons. 

Wachezaji ni Paul Lyungu, Idrissa Mohamed  wa Majimaji, Cleotas Sospeter, Yusuph Mhilu, Emanuel Martin, Geoffrey Mwashiuya  wa Yanga, Yusuf Mpilipili wa Simba, Joseph Prosper, Masoud Abdallah, Yahaya Zayd, Abbas Kapombe wa Azam FC, Bakari Kijuji wa Tanzania Prisons, William Patrick wa Ruvu Shooting, Adam Salamba, Stanley Angeso  wa Stand United, Omary Mponda, Ayoub Masoud, Bakari Majogoro wa Ndanda FC, Eliud Ambokire, Emanuel Kakuti, Madson Mwakatunde wa Mbeya City, Daruweshi Saliboko wa Ashanti United, Ismail Aiden, Salum Kihimbwa , Hassan Maganga wa Mtibwa Sugar, Awesu Ally wa Mwadui FC, Salum Chuku, Yusuph Kagoma wa Singida United, Mohammed Habibu wa Miembeni ya Zanzibar, Faisal Abdallah wa JkU ya Zanzibar, Agaton Mapunda wa Njombe Mji FC 

No comments:

Post a Comment