Ngao ya Jamii ambayo ilitolewa baada ya Simba kuifunga Yanga kwa
penalti 5-4 ikawa imekosewa imeletwa nyingine na itakabidhwa kwa Simba Septemba
6 wakati wa mchezo dhidi ya Azam FC.
Aidha
Lucas aliendelea kuomba radhi mashabiki na wapenda soka wote na kuahidi makosa
hayo kutojirudia.
No comments:
Post a Comment