Katibu wa Kawe jogging Social and sport Club, Seif Muhere akipokea tiketi za Kili marathon kutoka kwa Mwakilishi wa Tigo, Viola Mboya kwa ajili ya ushiriki wa mashindano Tigo Kili Half Marathon 21Km, yanayotarajiwa kufanyika jumapili ijayo Tarehe 26 Februari mkoani Kilimanjaro. Usajili huo ulifanyika jana Jumamosi Mlimani city jijini Dar es Salaam kwa kujisajili kwa kulipia kwa kutumia Tigopesa
|
No comments:
Post a Comment