Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, May 27, 2016

JOSE MOURINHO ATAMBULISHWA MENEJA MPYA WA MANCHESTER UNITED, ASAINI MIAKA 3Jose Mourinho Akiwa amepozi na jezi ya Klabu ya Manchester United leo punde baada ya kutambulishwa Meneja mpya wa Klabu hiyo ya Mashetani wekundu kwa Miaka 3.

Mkataba kati ya Klabu ya Man united na Jose Mario Dos Santos Mourinho Felix

Mourinho will earn £45million over the course of his three-year contract and work has already started on a summer recruitment drive with £200m available to create a squad capable of a Premier League title challenge.