Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, May 24, 2016

BRENDAN RODGERS ATAMBULISHWA RASMI CELTIC

Brendan Rodgers

Brendan Rodgers Akiwa amepoti kwenye picha na Jezi ya Klabu yaleo Celtic wakati wa Utambulisho leo na Hapa alikuwa kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari(Hawapo pichani)
Meneja mpya wa Celtic

Rodgers akiwa karibu na Celtic chief executive Peter Lawwell (kushoto) na  Mwenyekiti wa Klabu hiyo Ian Bankier (kulia)

Rodgers akimwaga wino

Rodgers akishikana mkono wa Kheri na Bwana  Lawwell  baada ya kusaini Mkataba wake wa kuifundisha Klabu hiyo leo hii jumatatu

Asante....!Rodgers alifukuzwa na Klabu ya  Liverpool mwezi wa Oktoba mwaka jana

KUHUSU BRENDAN RODGERS
Chelsea (Youth) – 2004-2008
Watford – 2008-2009
Reading – 2009
Swansea City – 2010-2012
Liverpool – 2012-2015
Celtic – 2016-


Rodgers alisafiri na Ndege binafsi kwenda Glasgow kwenye Uwanja wa Ndege