![](http://static.independent.co.uk/s3fs-public/styles/story_large/public/thumbnails/image/2015/11/08/14/Anfield.jpg)
Maelfu ya mashabiki waliondoka katika uwanja wa Anfield kunako dakika ya 77 katika mechi dhidi ya Sunderland ili kupinga ada hiyo ya kiingilio kwa wale wanaoingia katika eneo jipya la uwanja huo.
Katika kurudisha bei ya awali wamiliki wa kilabu hiyo Fenway Sport waliwaambia mashabiki kwamba 'wamepata ujumbe'.Tiketi hiyo sasa itauzwa pauni 59.
Mmiliki wa kilabu hiyo John W Henry,mwenyekiti Tom Werner na rais wa FSG Mike Gordon walitoa barua ya wazi wakielezea mabadiliko hayo,kufuatia kile walichokitaja kuwa wiki ya kutatiza.
![](http://static.independent.co.uk/s3fs-public/styles/story_large/public/thumbnails/image/2016/02/10/18/web-liverpool-tickets-getty.jpg)
![](http://www.thisisanfield.com/wp-content/uploads/160206-044-Liverpool_Sunderland-1108x840.jpg)
No comments:
Post a Comment