Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, February 10, 2016

LEICESTER KULETA UHONDO KWA MASHABIKI WAKE IKIBEBA KOMBE LA LIGI KILA SHABIKI KULAMBA £25,000


Shabiki mmoja wa klabu ya Leicester huenda akajishindia pauni 25,000 iwapo timu yake katika ligi ya Uingereza itashinda taji la ligi hiyo baada ya kuweka pauni tano katika dau la 5,000-1.
Ushindi wa Leicester wa 3-1 katika klabu ya Manchester City unawaacha wakiwa pointi tano juu ya jedwali hilo huku ikiwa thuluthi mbili za msimu huo zimekamilika.
Carpenter Leigh Herbert, mwenye umri wa miaka 38 alicheza dau akiwa katika likizo na amekataa ombi la kumtaka achukue pauni 3,200 ili kujiondoa.
Iwapo Leicester ambao walikuwa chini ya jedwali la ligi hiyo mwaka mmoja uliopita watashinda taji hilo la ligi, inaaminika kuwa hiyo itakuwa zawadi kubwa kuwahi kutolewa katika historia ya michezo.

No comments:

Post a Comment